Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti cha kupokea Masuala muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili Bajeti za Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 leo Aprili 1, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Daniel Sillo

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Selemani Kakoso akichangia jambo wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti cha kupokea Masuala muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili Bajeti za Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 leo Aprili 1, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Viongozi Mbalimbali wa Serikali na Bunge wakishiriki kikao cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti cha kupokea Masuala muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili Bajeti za Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 leo Aprili 1, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc pamoja na Mkurugenzi wa Kamati za Bunge, Ndg. Athuman Hussein wakishiriki kikao cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti cha kupokea Masuala muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili Bajeti za Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 leo Aprili 1, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...