Viongozi wa Wawakilishi wa Jukwaa la Mabunge ya nchi za SADC kutoka mataifa wanachama wakiwa katika picha ya pamoja kwenye Mkutano wa Jukwaa hilo uanoendelea Jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
Wajumbe wa Tanzania kwenye Jukwaa la Mabunge ya nchi za SADC Mheshimiwa Shally Raymond na Mheshimiwa Selemani Zedi wakifuatilia maelezo ya maudhui ya Muswada wa Sheria ya Mfano ya Usimamizi wa Fedha za Umma kwa nchi za SADC kwenye Mkutano uanoendelea Jijini Johannesburg, Afrika Kusini. (Picha na Ofisi ya Bunge)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...