Mjumbe wa Tanzania Mheshimiwa Haji Kassim akifuatilia Mada juu ya Kuzuia utoaji mimba usio salama, mimba za utotoni na zisizo tarajiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 51 wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya SADC ulioanza rasmi hii leo Jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
Mjumbe wa Tanzania Mheshimiwa Shally Raymond akifuatilia Mada juu ya Kuzuia utoaji mimba usio salama, mimba za utotoni na zisizo tarajiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 51 wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya SADC ulioanza rasmi hii leo Jijini Johannesburg, Afrika Kusini.

Wajumbe wa SADC-PF kutoka mataifa wanachama wakifuatilia Mada juu ya Kuzuia utoaji mimba usio salama, mimba za utotoni na zisizo tarajiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 51 wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya SADC ulioanza rasmi hii leo Jijini Johannesburg, Afrika Kusini. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...