Washindi mbalimbali kutoka mkoani Songwe waliojishindia zawadi za Tv za kisasa na simujanja (smartphone) kwenye promosheni ya Vodacom ya Shangwe Lipo Pale pale wakiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja Mauzo wa Vodacom mkoa wa Songwe Humphrey Mutabiirwa mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao kwenye hafla iliyofanyika stendi kuu ya Mwaka mjini Tunduma.
Home
HABARI
Wakazi wa Songwe watamatisha Vodacom Shangwe Lipo pale pale kwa kuzawadiwa TV na Simu janja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...