Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akibonyeza kitufe, kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa huduma mpya za fedha ambazo zitatolewa kidigitali na Benki ya NMB “Teleza Kidigitali” katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma, Aprili 11, 2022. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hassan Hamad Chande, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NMB, Dkt. Edwin Mhede na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NMB, Dkt. Edwin Mhede (kulia), baada ya kuzindua huduma mpya za fedha ambazo zitatolewa kidigitali na Benki ya NMB “Teleza Kidigitali” katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma, Aprili 11, 2022. Kutoka kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hassan Hamad Chande. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza kwenye uzinduzi wa huduma mpya za fedha ambazo zitatolewa kidigitali na Benki ya NMB “Teleza Kidigitali” katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma, 

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna, akizungumza kwenye uzinduzi wa huduma mpya za fedha ambazo zitatolewa kidigitali na Benki ya NMB “Teleza Kidigitali” katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma, Aprili 11, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...