Jengo la WOdi ya Wanawake na watoto lililowekwa jiwe la msingi na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).Waziri wa Ulinzi Dkt. Stergomena Tax akipiga makofi mara baada ya kuzindua ujenzi wa wodi ya wanawake na watoto katika Hospitali ya Jeshi Mazao/ Mzinga.

Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Kushoto) Akizungumza jambo na Meneja wa Shirika la Mzinga Brigedia Seif Hamisi (Alie Katikati) na Pembeni (Kulia) ni Kamishna wa Utafiti na Maendeleo Jeshini Meja Jenerali Othman.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...