Yes...Sasa Ni Zamu Ya Zanzibar Baada Ya Kuzinduliwa Marekani Ikafata Arusha Sasa Ni Rasmi Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mh. @samia_suluhu_hassan Anakwenda Zanzibar Na Jopo Zima La Wasanii Wa Bongomovies Na Viongozi Wote Wakiongozwa Na Mwenyekiti Wa Mama Ongea Na Mwanao @stevenyerere2 Kuizindua The Royal Tour.

Hii Sio Ya Kukosa Oyaaa Zanzibar Eeeh 🗣️ Tunakuja May 07 2022

𝐌𝐀𝐌𝐀 𝐎𝐍𝐆𝐄𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐎 𝐓𝐔𝐏𝐎 𝐏𝐀𝐌𝐎𝐉𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐌𝐀.

𝐂𝐜 @𝐬𝐭𝐞𝐯𝐞𝐧𝐲𝐞𝐫𝐞𝐫𝐞2

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...