Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amewasilisha maoni na mapendekezo ya Chama Cha Mapinduzi kwa Kikosi Kazi Cha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinachofanyia kazi masuala yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa leo tarehe 24, Mei 2022 jijini Dar es Salaam.

Katika kikao hicho cha kuwakilisha maoni na mapendekezo ya Chama Cha Mapinduzi, Katibu Mkuu Chongolo aliongozana na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Unenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...