

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea soko la Wamachinga la Mbauda jijini Arusha, Mei 24, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella na wa tatu kushoto Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maeneo wanayofanyia baiashara Wamachinga katika soko la Mbauda jijini Arusha, Mei 24, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea Soko la Kilombero kabla ya kuzungumza na wafanyabiashara wa soko hilo jijini Arusha Mei 24, 2022.
aziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika viwanja vya soko la Kilombero baada ya kutembelea soko hilo jijini Arusha, Mei 24, 2022.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...