Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Mbonimpaye Mpango akiongoza mbio maalum “Run For Hedhi Salama” zilizoandaliwa na Jukwaa la Hedhi Salama maalum kwa kukuza uelewa kwa jamii juu hedhi salama na kuchangia upatikanaji wa huduma salama za hedhi. Mbio hizo zimefanyika katika Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Hedhi Salama duniani leo tarehe 28 Mei 2022.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Mbonimpaye Mpango (Mwenye kiremba cha rangi ya bluu) akisikiliza maelezo kutoka kwa wawezeshaji wa maabara ya Hedhi salama  mkoani Kigoma wakati wa maadhimisho ya siku ya Hedhi Salama Duniani leo tarehe 28 Mei 2022.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Mbonimpaye Mpango akivalishwa skafu maalum ya shujaa wa Hedhi Salama wakati wa Maadhimisho ya siku ya Hedhi Salama Duniani yaliofanyika kitaifa mkoani Kigoma leo tarehe 28 Mei 2022.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Mbonimpaye Mpango akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Jukwaa la Hedhi Slama Tanzania wakati wa Maadhimisho ya siku ya hedhi salama duniani yaliofanyika kitaifa mkoani Kigoma leo tarehe 28 Mei 2022.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...