



Baadhi ya Samani mbalimbali zinazotengenezwa na katika Kiwanda cha Samani Uyui, Tabora. Kiwanda hicho kipo Gereza Kuu Uyui.

KAMISHNA Jenerali wa Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee mapema leo amezindua miradi ya Gereza Kuu Uyui,Tabora. Miradi hiyo ni mradi wa Duka, Mashine ya kusaga, majengo ya biashara. CGP Mzee amepongeza juhudi hizo za kumuunga mkono Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa mema anayoyafanya kwa Jeshi na Taifa kwa ujumla.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...