Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth) Mhe. Patricia Scotland mara baada ya kuwasili Ikulu Tunguu, Zanzibar kwa ajili ya Mazungumzo tarehe 05 Mei, 2022.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth) Mhe. Patricia Scotland mara baada ya kuwasili Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Mei, 2022.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Azimio la Jumuiya ya Madola (Charter of the Commonwealth) kutoka kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Mhe. Patricia Scotland mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Mei, 2022.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe. Patricia Scotland mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe. Patricia Scotland aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Mei, 2022

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...