Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akimkaribisha Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Martin Ngoga alipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Martin Ngoga (katikati) alipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Peter Mathuki



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Ugeni kutoka Bunge la Afrika Mashariki wakiongozwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Martin Ngoga (kulia kwake) walipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Martin Ngoga alipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...