Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi kutoka Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (NACOPHA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Ndg. Leticia Mourice (watatu kulia) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa NACOPHA, Ndg. Deogratius Rutatwa (wapili kushoto) walipomtembelea leo Mei 16, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi kutoka Asasi za Kiraia katika Sekta ya Afya (Chini ya Mfuko wa mkapa Foundation) walipomtembelea leo Mei 16, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...