Mkurugenzi wa Dijitali na Huduma Vodacom Tanzania Plc, Nguvu Kamando (kushoto), Mkurugenzi wa Rasilimali watu Vodacom Tanzania Plc,  Vivienne Penessis (katikati) na Mahadia Tunga wa dLab wakimpongeza mmoja kati ya wanafunzi aliyetoa mada (hayupo pichani) kwenye mafunzo ya Tehama (kupitia Code like a girl) kwa wanafunzi wa kike wa shule za sekondari mbalimbali nchini yaliyoandaliwa na taasisi ya dLab yenye lengo la kumpa ujuzi mtoto wa kike kupitia  Tehama na kujiajiri kupitia mpango huo unaodhaminiwa na Vodacom Tanzania Plc

Mkurugenzi wa Rasilmali watu, Vodacom Tanzania PLC, Vivienne Penessis akizungumza  kwenye mafunzo ya Tehama (kupitia Code like a girl) kwa wanafunzi wa kike wa shule za sekondari mbalimbali nchini yaliyoandaliwa na taasisi ya dLab yenye lengo la kumpa ujuzi mtoto wa kike kupitia  Tehama na kujiajiri kupitia mpango huo unaodhaminiwa na Vodacom Tanzania Plc

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...