Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimkabidhi Mwanahabari Nguli, Ndimara Tegambwage hundi ya Shilingi
Milioni kumi baada ya kutambuliwa na kupewa tuzo ya Maisha ya Mafanikio
katika Uandishi wa Habari (Laja) 2022. alipomwakilisha Rais Samia Suluhu
Hassan katika hafla ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari
Tanzania (Ejat), katika Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam, Mei 28,
2022. kushoto ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,
Nape Nnauye, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Kajubi
Mkajanga (katikati) (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanahabari wakati alipomwakilisha
Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utoaji tuzo za umahiri wa
uandishi wa habari Tanzania (Ejat), katika Hotel ya Serena Jijini Dar es
Salaam, Mei 28, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimkabidhi Mwanahabari Nguli, Ndimara Tegambwage tuzo ya Maisha ya
Mafanikio katika Uandishi wa Habari (Laja) 2022. alipomwakilisha Rais
Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi
wa habari Tanzania (Ejat), katika Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam,
Mei 28, 2022. kushoto ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya
Habari, Nape Nnauye, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Kajubi
Mkajanga (katikati) (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, wakati alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Tanzania (Ejat), katika Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam, Mei 28, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...