Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo (hayupo pichani) akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa RUWASA Meatu Mhandisi George Massawe wakati akukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa tanki la maji katika kata ya Isengwa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu leo.Picha na MIchuzi Jr- MMG.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa RUWASA Meatu Mhandisi George Massawe mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa tanki la maji katika kata ya Isengwa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu leo.
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na
wanaCCM na wananchi mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi
wa tanki la maji katika kata ya Isengwa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu
leo.maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Mwandu Itinje wilayani Meatu mkoa wa Simiyu.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakazi waliojitokeza mara baada ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Mwandu Itinje wilayani Meatu mkoa wa Simiyu.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akikagua maendeleo ya ujenzi wa katika Shule ya Sekondari Mwandu Itinje wilayani Meatu mkoa wa Simiyu.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akishiriki ujenzi wa katika Shule ya Sekondari Mwandu Itinje wilayani Meatu mkoa wa Simiyu.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakazi waliojitokeza mara baada ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Mwandu Itinje wilayani Meatu mkoa wa Simiyu.
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akihutubia wakazi waliojitokeza mara baada ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Mwandu Itinje wilayani Meatu mkoa wa Simiyu. (Picha na Adam H.Mzee/ CCM Makao Makuu)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi ya CCM Kata ya Imalaseko wilayani Meatu. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na wakazi wa shina namba 1 Mwandu Itinje wilayani Meatu mkoa wa Simiyu.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakazi wa kijiji cha Sanga Itinje waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili wilayani Meatu mkoa wa Simiyu. (Picha na Adam H.Mzee/CCM Makao Makuu)
Home
HABARI
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU DANIEL CHONGOLO MEATU MKOANI SIMIYU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...