Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakishuhudia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwaapisha  Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] tr28/06/2022.
Baadhi ya Wageni walioalikwa katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu wa Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar wakishuhudia kuapishwa kwa Majaji wapya walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt.Mwinyi Talib Haji (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamal  Kassim Ali na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said  ni miongoni mwa Viongozi  waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu wa Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] tr28/06/2022.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...