
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokagua ujenzi wa nyumba za askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika eneo la Kikombo, Dodoma, Juni 9, 2022. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri na kulia ni Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John William Masunga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokagua ujenzi wa nyumba za askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika eneo la Kikombo, Dodoma, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Baadhi ya majengo ya nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...