
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Indonesia nchini, Mhe. Tri Yogo ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma Juni 6, 2022 kujitambulisha baada ya kukabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Januari 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Indonesia nchini, Mhe. Tri Yogo Jatmiko kambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma Juni 6, 2022 kujitambulisha baada ya kukabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Januari 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...