Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Askofu Wolfgang  John Pisa baada ya  askofu huyo kusimikwa  kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi katika ibada iiyofanyika kwenye uwanja wa Ilulu mjini Lindi, Juni 26, 2022. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

 Askofu Wolfgang John Pisa  akiwa amelala kifudifudi  katika Ibada ya kusimikwa kwake kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi iliyofanyika kwenye uwanja wa Ilulu mjini Lindi, Juni 26, 2022. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alishiriki katika Ibada hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na baadhi ya viongozi walioshiriki katika Ibada ya kumsimika  Askofu wa Jimbo  Katoliki la Lindi  Wolfgang John Pisa wakifuatilia ibada hiyo iliyofanyika kwenye uwanja wa Ilulu mjini Lindi, Juni 26, 2022.  Kushoto ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya Mapadri walioshiriki katika Ibada ya kusimikwa Askofu Wolfgang John Pisa kuwa Askofu wa Jimbo  Katoliki la Lindi wakifauatilia Ibada hiyo kwenye uwanja wa Ilulu mjini Lindi, Juni 26, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Ibada ya kusimikwa Askofu Wolfgang John Pisa kuwa Askofu wa Jimbo  Katoliki la Lindi wakifauatilia Ibada hiyo kwenye uwanja wa Ilulu mjini Lindi, Juni 26, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...