Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Ruangwa Queens wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambye pia ni Mbunge wa Ruangwa wakati alipotembelea kambi yao katika kijiji cha Namakonde wilayani Ruangwa, Juni 3, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa Juni 3, 2022 alitembelea kambi ya timu ya mpira wa Migu ya wanawake , Ruangwa Queens. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akizungumza na wachezaji wa timu hiyo katika kijiji cha Namakonde, Kata ya Nachingwea, Ruangwa


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...