
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akimkabidhi Hati ya pongezi Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mhe. Paulo Chacha (kushoto) kwa kusaidia kupatikana kwa hati ya shamba la Jumuiya ya Wazazi wilayani Kaliua.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu la Wazazi Taifa katika ukumbi wa NEC CCM Makao Makuu, Dodoma.

Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria kikao cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Wazazi katika NEC CCM Makao Makuu, Dodoma.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiteta jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Dkt. Edmund Mndolwa (kushoto) wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu la Wazazi Taifa katika ukumbi wa NEC CCM Makao Makuu, Dodoma.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...