
KASINO ya
mtandaoni ya Meridianbet inakusogezea bahati nasibu kupitia mchezo wa Keno. Huu ni mchezo wa namba ambao mchezaji anachagua namba 10 kutoka kwenye orodha ya namba 1 mpaka 80.
Huu ni mchezo wa bahati nasibu, ukiwa na bahati sana utashinda pesa nyingi zaidi. Mchezo huu ni moja ya michezo inayopendwa na wachezaji wengi wa Meridianbet.
Namna
ya Kucheza Mchezo wa Keno
Ukiingia
kwenye upande wa bahati nasibu ya Meridianbet, utaona ubao
unaoonesha namba 1 mpaka
80. Mteja ataamua anataka kuweka dau la kiasi gani? Kumbuka, kila dau utakaloliweka, linaweza kukupatia faida stahiki kulingana na dau hilo.
Baada ya mteja kuweka dau, atachagua namba zake 10 za bahati anazoamini zitatolewa kwenye droo ya mzunguko unaofuata, baada ya kukamilisha hatua hizi, mteja atasubiri matokeo ya droo husika kutokea.
Namna ya Kupata Ushindi Kwenye Mchezo wa Keno
Ushindi wa Keno ya Meridiabet unategemea idadi ya namba ulizochagua na zile zilizotokea kwenye droo husika! Kama ukipatia namba mbili basi ushindi wako utakuwa ni mara 2 ya dau lako!
Kama ukichagua namba na zikatokea katika ile droo kabambe ya “Zote zitokee” basi utakuwa miongoni mwa mamilionea! Jiunge sasa na Meridianbet na ufaidi odds, bonasi na promosheni kabambe!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...