Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipotoa nassaha zake leo kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya Swala ya Ijumaa katika Masjid Sunna Kikwajuni Jijini Zanzibar Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/06/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiitikia dua iliyoombwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi (wa pili kushoto) leo mara baada ya swala ya Ijumaa liyoswaliwa katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/06/2022.
Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Sunna Kikwajuni Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa nassaha zake leo mara baada ya swala ya Ijumaa katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/06/2022.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali
Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Sheikh Kassim Haidar Jabbir Alfarsiy
leo mara baada ya swala ya Ijumaa katika Masjid Sunna Kiwajuni
Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/06/2022.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...