

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji wa Ujenzi wa Uwanja wa Kriketi Fumba Wilaya ya Magharibi “B”Unguja kutoka Nchini India ukiongozwa na Bw.Jilesh Hitmat Babla,Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya JHIL Enterprises ya India, walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 2-6-2022, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe Tabia Maulid Mwita na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said.(Picha na Ikulu)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...