Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Viongozi wa Kamati za Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma leo Juni 17, 2022, wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Sheikh Alhad Mussa Salum (kulia kwake)



Mwenyekiti wa Kamati za Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum akizungumza wakati wa kikao na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (hayupo kwenye picha) walipomtembelea leo Juni 17, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.



Mdhamini wa Kamati za Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Ndg. Azim Dewji akizungumza wakati wa kikao na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (hayupo kwenye picha) walipomtembelea leo Juni 17, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.



Wajumbe wa Kamati za Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (hayupo kwenye picha) kikao kilichofanyika leo Juni 17, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.



Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (mwenye miwani mbele), katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kamati za Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania nje ya Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma leo Juni 17, 2022, wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Sheikh Alhad Mussa Salum (kulia kwake)

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...