Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), limeshiriki kwenye onesho la “ROAD SHOW TANZANIA 2022 -BACK IN AFRICA“ linalofanyika katika bara la Ulaya ya Kati(Central Europe) katika Miji ya Munich - German, Prague - Czech Republic na Bratislava -Slovakia.

Onesho hilo limeandaliwa na Kampuni ya Mount Kilimanjaro Safari Clubs ( MKSC ) ambapo TANAPA pamoja na wadau wengine wa Utalii kutoka sekta binafsi wameshiriki.

Ushiriki huo umetoa fursa ya kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania katika masoko haya ya msingi na ya kimkakati.

Hii ni mara ya kwanza Tanzania kufanya onesho kama hili katika mji ya Prague - Czech Republic na Bratislava - Slovakia

Onesho hili limekuwa na mvuto mkubwa katika miji hiyo.





 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...