
Uingereza
kuitupa karata yake ndani ya Wembley kuchuana na Italia,
maumivu ya kupoteza fainali ya Euro 2020 yanaweza kuwapa chachu vijana wa
Southgate kupata alama tatu mbele ya Mancini? Pengine huu ukawa ni mchezo wa
kulipiza kisasi au, kuendeleza kipigo. Meridianbet
tumekuwekea Odds ya 1.86 kwa Uingereza.
Kule Oslo, Norway
watawaalika majirani zao, Sweden katika mchezo
mwingine wa UEFA Nations League. Erling Haaland anaendelea kuonesha uwezo wake
mkubwa wa kupachika magoli akiwa na timu ya Taifa, Sweden wameshapoteza michezo
2 ya awali, watatoboa mchezo wa 3? Ifuate
Odds ya 2.11 kwa Norway kupitia Meridianbet.
Ni marudio ya
fainali ya Kombe la Dunia 2018, Ufaransa
uso kwa uso na Croatia. Mchongo upo hivi, toka walipocheza
fainali 2018, viwango vya mataifa yote mawili vimebadilika sana. Huku ni kwenye
mashindano ya Ulaya, lolote linaweza kutokea. Dau lako unaliweka kwa nani? Odds
ya 1.51 ipo kwa Ufaransa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...