Rais wa Shirika la SHINA INC, Jessica Mushala akizungumza   na washiriki wa Kongamano lililoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC  wakati wa Usiku wa Utamaduni pamoja na kugawa vyeti wa kwa washiriki wa Kongamano hilo lililofanyika Makunduchi, Zanzibar likiwa na kauli mbiu ya Uongozi na Utawala , Wajibu wa Vijana katika kujenga Maendeleo endelevu.
Mkurugenzi wa Shirika la SHINA Tanzania, Joanes Chamushara akitoa salamu kwa niaba ya SHINA Tanzania kuhusu namna walivyojipanga kuendelea kutoa mafunzo kwa washiriki na kwa jamii kiujumla  wakati wa Usiku wa Utamaduni pamoja na kugawa vyeti wa kwa washiriki wa Kongamano hilo lililofanyika Makunduchi, Zanzibar likiwa na kauli mbiu ya Uongozi na Utawala , Wajibu wa Vijana katika kujenga Maendeleo endelevu.
Baadhi ya ngoma za kitamaduni za Tanzania bara pamoja na Zanziba zikiendelea kutoa burudani kwenye usiku wa Utamaduni ulioandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC  wakati wa Kongamano la siku Tatu lililofanyika Makunduchi, Zanzibar likiwa na kauli mbiu ya Uongozi na Utawala , Wajibu wa Vijana katika kujenga Maendeleo endelevu. Kati ya ngoma zilizoshiriki kwenye usiku wa Utamaduni ni Ngoma ya Duma ya Zanzibar, Shule ya Sekondari Makunduchi, Ngoma ya Kyaso kutoka Pemba, Wasukuma, Msewe kutoka Zanzibar, Wahaya pamoja na Wanyakyusa.
Rais wa Shirika la SHINA INC, Jessica Mushala pamoja na wengeni waalikwa wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanakikundi wa Ngoma ya Msewe kutoka Zanzibar wakati wa tamasha la usiku wa Utamaduni lililofanyika kwenye kongamano lililoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC   na kufanyika Makunduchi, Zanzibar
Rais wa Shirika la SHINA INC, Jessica Mushala akipokea zawadi ya ngoma kutoka kwa mmoja wa washiriki wakati wa akati wa Usiku wa Utamaduni pamoja na kugawa vyeti wa kwa washiriki wa Kongamano hilo lililofanyika Makunduchi, Zanzibar likiwa na kauli mbiu ya Uongozi na Utawala , Wajibu wa Vijana katika kujenga Maendeleo endelevu.
Rais wa Shirika la SHINA INC, Jessica Mushala akiwakabidhi baadhi ya Washiriki wa Kongamano lililoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC ili kutambua umuhimu wa Konamano hilo lililofanyika Makunduchi, Zanzibar  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...