.jpg)
Waziri
 wa Mambo ya Nje na Ushiikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata 
Mulamula akiwa katika mazungumzo na Afisa Uchaguzi Mkuu katika Idara ya 
Siasa na Masuala ya Amani ya Umoja wa Mataifa, Bw. Akinyemi Adegbola 
yaliyofanyika jijini Dar Es Salaam
Baadhi
 ya ujumbe uliongozana na Afisa Uchaguzi Mkuu katika Idara ya Siasa na 
Masuala ya Amani ya Umoja wa Mataifa, Bw. Akinyemi Adegbola kwenye 
mazungumzo ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushiikiano wa Afrika Mashariki, 
Balozi Liberata Mulamula na Afisa huyo.
Ujumbe
 wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushiikiano wa Afrika Mashariki, Balozi 
Liberata Mulamula ukifuatilia mazungumzo yake na Afisa Uchaguzi Mkuu 
katika Idara ya Siasa na Masuala ya Amani ya Umoja wa Mataifa
Waziri
 wa Mambo ya Nje na Ushiikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata 
Mulamula akiagana na ujumbe wa UNDP ambao upo nchini kwa ajili ya 
kuzungumza na wadau wa siasa kuhusu uchaguzi.
Waziri
 wa Mambo ya Nje na Ushiikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata 
Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa UNDP ambao upo nchini
 kwa ajili ya kuzungumza na wadau wa siasa kuhusu uchaguzi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...