CEO wa Penthauze Music na mshindi wa tuzo mbalimbali za muziki, Phyno ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki ameachia ngoma yake mpya iitwayo Full Current (That’s My Baby). Akishirikiana na mkali mwingine kutoka Nigeria Tekno.

Ngoma hiyo ya Phyno ‘Full Current’, inataja sifa za kipekee za mpenziwe ambapo ametumia mahadhi ya midundo ya Amapiano. Kwa sasa ngoma hiyo inapatikana katika platform mbalimbali na pia ipo YOUTUBE. 2021 rapa huyo kutoka Nigeria aliachia albamu yake ya nne iitwayo SOMETHING TO LIVE FOR ambayo bado inafanya poa huku akitarajia kuachia mawemengine mampya siku zijazo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...