
Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) wakati alipozungumza Wananchi,pamoja na Vijana wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanziar JKU leo mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Maduka ya Wajasiriamali yaliyojengwa kwa Mkandarasi JKU.[Picha na Ikulu] 17/07/2022.
Baadhi ya wanafunzi wakinyoosha mikono juu kumuunga mkono Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipozungumza nao leo katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Skuli ya Msingi Mwanakwerekwe ianyojengwa na kampuni ya Estim Enterprises Company LTD,[Picha na Ikulu] 17/07/2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...