RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba na kusalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi leo 25-7-2022, akiendelea na ziara yake Pemba kutembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahro Masoud na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.Mhe Masoud Ali Mohammed,baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba, kuendelea na ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mikoa Miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba leo 25-7-2022.(Picha na Ikulu)
VIJANA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Pemba wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba wakati wa mapokezi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipowasili Uwanja Ndege Chakechake Pemba,kuendelea na ziara yake Pemba leo 25-7-2022, katika Mikoa Miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba kuendelea na ziara yake leo 25-7-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasalimia Wananchi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba kuendelea na ziara yake leo 25-7-2022, kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mikoa miwili ya Pemba.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...