Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Simai Mohamed Said  akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara alioifanya Mji mkongwe na kutoa Taarifa ya Uekezaji katika Mji huo hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Zanzibar.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Simai Mohamed Said akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara alioifanya Mji mkongwe na kutoa Taarifa ya Uekezaji katika Mji huo hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Star TV Abdalla Pandu akiuliza maswali kwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Simai Mohamed Said  (hayupo pichani)wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara alioifanya Mji mkongwe na kutoa Taarifa ya Uekezaji katika Mji huo hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...