
Mosimane ni Kocha aliyeiwezesha Al Ahly kutwaa ubingwa wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika mara mbili mfululizo, atahudhuria siku ya kilele cha Siku ya Mwananchi.
“Nimevunja mkataba na Al Ahly SC ili nipumzike, nimeamua kuja nchini Tanzania kupata mapumziko, nimekuja hapa nchini mara nne sikuiona hii nchi vizuri, mara nyingi nimefika uwanja wa ndege na kuingia uwanjani kwenye mashindano.” Amesema
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...