
EPL
bado ni ya moto sana wiki hii tutashuhudia mechi nyingi zikipigwa viwanja
tofauti. Jummane hii Southampton
waliotoka kupoteza mechi iliyopita watakipiga na Chelsea ambao wametoka
kushinda mechi iliyopita. Meridianbet wameipa nafasi kubwa ya ushindi Soton kwa
odds ya 5.09, bashiri sasa ushinde.
Jumatano
ndiyo usipime mabingwa watetezi wa EPL watakuwa nyumbani kucheza na Nottingham Forest
timu iliyosajili zaidi kuliko timu yeyote ikiwa imesajili wachezaji 18 mpaka.
Je nani unamtabiria ushindi kwenye mechi hii? Weka utabiri wako hapa meridianbettz.
Jurgen
Klopp atahitaji kuendeleza ubabe wake mbele ya NewCastle
ambapo mechi itapigwa Anfield
saa 22:00 pm, mechi inapewa odds kubwa na kuna machaguo 1000+ hapa meridianbet
Arsenal
watakuwa na kazi ya kuhakikisha wanabaki kileleni mwa msimamo wa Ligi pale
watakapovaana na Aston Villa, huku Bournemouth
walitoka kupigwa bao 9 watahitaji kufuta machungu dhidi ya Wolves. mechi hizi
zote ni za ushindi bashiri ukiwa na meridianbet.
kule
kwenye Serie
A Juventus
atakipiga dhidi ya Spezia majira ya saa 21:45 pm. Na Napoli atamkaribisha Lecce
kwenye dimba la Diego
Armando Maradona saa 21:45 pm
Hatujamalizaa,
kuna Ligue
1
nako kumewakaa, Psg atakuwa ugenini kukipiga na Toulouse waliopo nafasi ya 10,
huku Lille watakipiga na Nice. Hujajchelewa bado shusha mkeka wako sasa na odds
za kijanja kutoka meridianbet,
bashiri kupitia https://meridianbet.co.tz
Usikwame
kama mzuka wa soka haupandi, bado unaweza kucheza michezo kibao ya kasino mtandaoni
na Meridianbet.
Jiweke kwenye nafasi kubwa ya kushinda Jackpot
na zawadi kibao, zikiwemo simu, bonasi, na mizunguko kibao ya bure. Ingia
mchezoni na ufurahie michezo ya kasino ya mtandaoni sasa!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...