Mshindi wa
Aviator, kwa utambulisho wake wa DM kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet ametamba kuwa hajutii maamuzi yake ya
kujaribu kucheza michezo ya kasino, na alivutiwa zaidi na mchezo wa Aviator ambao amekuwa akicheza mara kwa mara.
Aviator,
umekuwa mchezo maarufu zaidi kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, ukiwa
na wachezaji wengi zaidi. DM anasema awali alikuwa anapendelea mchezo Wild Icy
na Virtual Games, lakini baadaye mapenzi yake yakahamia kwenye Aviator.
Umewahi kufikiria kuwa kucheza gemu
kunaweza kukufanya uwe Milionea?
Bila shaka,
wengi tunapenda kucheza gemu kama namna ya kupoteza mawazo au kufurahia muda au wakati wa kupumzika. Habari njema ni kuwa,
unaweza kucheza gemu na kushinda hadi jackpot kubwa za kasino ya mtandaoni ukiwa na Meridianbet.
DM meshinda
zaidi ya Milioni 60 wiki hii kwa kuwa rubani wa Aviator, gemu inayopatikana kwenye kasino ya Meridianbebet. Mchezo huu unatoa nafasi sawa kwa kila anayecheza kukusanya ushindi
kwa umakini wake tu na kuwa na spidi linapofika suala la kukusanya ushindi.

"Nilikuwa
napenda gemu zingine kama Wild Icy na zingine za Virtual, lakini Aviator
nikaona ndiyo bora zaidi kwangu. Ni mchezo ambao umekuwa unafurahisha ukiacha
suala la kushinda, lakini na ushindi ninaoupata kama huu unafanya nione hii ni
gemu bora zaidi kwangu" - DM
Ukiaacha
ushindi unaoweza kuupata kwenye mchezo huu, kinachovutia zaidi ni kwamba
unaweza kucheza kwa kiwango kidogo na kuwa na nafasi ya kupata ushindi. Bonasi na promosheni zinafanya
mchezo kuwavutia zaidi wengi.
Na wewe,
unaweza kuwa DM na kubutua namilioni kwenye kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Bila kusahau kuna jackpot nyingi za
casino kupitia waandaaji wa michezo hii inayopatikana kwenye kasino ya Meridianbet. Kama wewe sio mpenzi wa kasino, usijali, kuna
fungu lako la kupata kwenye michezo mingine ya kubashiri kama soka, mbio za
mbwa, virtual games na michezo mwingine kibao! Ingia www.meridianbet.co.tz
kuona fungu lako.
Ukiwa hauna Intaneti, usijali, haujatengwa bonyeza *149*10# kwa Airtel na Tigo kutandika majamvi yako ya ushindi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...