Kampuni ya Sukari ya kilombero imesema ndoto ya serikali ya kuhakikisha upatikanaji wa sukari nchini inaelekea kutimia kutokana na uwekezaji mkubwa unaofanywa na kampuni hiyo kupitia wawekezaji kutoka kampuni ya Uingereza, Associate British Sugar. Akizungumza wakati wa ziara ya wawekezaji hao katika mradi wa upanuzi wa Kampuni ya Sukari ya Kilombero, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sukari Kilombero, Guy Williams



Naye mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Kampuni ya Sukari Kilombero Sugar, Balozi Ami Mpungwe amesema kuwa uamuzi wa wawekezaji hao kuwekeza nchini Tanzania ni kielelezo sahihi cha imani waliyonayo katika mazingira ya uwekezaji huku akiiomba serikali na taasisi husika kuendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji hasa katika uzalishaji wa sukari nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...