Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Djibout Abdoulkader Kamil Mohamed, jijini Tunis, Tunisia Agosti 29, 2022. Wote wawili walishiriki Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliomalizika nchini humo hivi karibuni.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Djibout Abdoulkader Kamil Mohamed, jijini Tunis, Tunisia Agosti 29, 2022. Wote wawili walishiriki Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliomalizika nchini humo hivi karibuni.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...