Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mnadhimu  Mkuu wa  JWTZ (Chief of Stuff) Luteni Generali  Salum Haji Othman,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na  Mnadhimu  Mkuu wa  JWTZ (Chief of Stuff) Luteni Generali  Salum Haji Othman,alipofika kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 01/08/2022.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...