Msanii wa Muziki wa kizombo ambae kaweka makazi yake nchini ufaransa BRUNO LOPES anakukaribisha kutazama nyimbo yake mpya ''MALANDRO'' ambayo inafanya vizuri katika upande wa Genre ya kizomba sehemu mbali mbali duniani na kwenye platforms mbalimbali Duniani, Ngoma hiyo ameshirikiana na msanii Anderson marioo, Distribution ikiwa chini ya Universal music group na PR Africa ikifanywa na Atmuzikafrika, Nyimbo ipo tayari kwenye digital store zote unaweza kuitazama.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...