Juventus
aliyetoka kupoteza mchezo wa mzunguko wa pili atawavaa AS Roma aliyepo nafasi
ya 3 akiwa kashinda mechi zote mbili. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi Juventus kwa odds ya 2.35 huku
AS Roma kapewa 3.19
Serie
bado kumenoga AC
Milan
atawakaribisha Bologna
FC
ambao hawajaanza vizuri kwenye ligi wakiwa wamepoteza mchezo 1, na kutoa sare 1
wapo nafasi ya 12 huku AC Milan wakiwa nafasi ya 5. unaweza kuweka chapuo lako
kwenye mechi hii kupitia tovuti
ya mabingwa Meridianbet www.meridianbet.co.tz.
Kule
kwa Malkia wa Uingereza nako mambo ni moto, baada ya ushindi dhidi ya Liverpool,
Man UTD watawafuata Southampton, Je United ataendeleza moto wake au Southampton
atauzima? Mechi hii imepewa odds
kubwa sana na bashiri na ushinde kibabe hapo Meridianbet.
Crystal
Palace
kapewa odds ya 13.72 ashinde ugenini dhidi ya Man City aliyepewa odds ya 1.18
akiwa nyumbani Ettihad, kumbuka Man City katoka kuonjeshwa pumzi ya moto
NewCastle.
Majogoo
Anfield Liverpool watakipiga nyumbani kwao dhidi ya Bournemouth, Liverpool
ambaye hajashinda mechi hata moja toka msimu mpya kuanza. Meridianbet wameipa nafasi kubwa zaidi
ya ushindi Liverpool.
Bilas
haka utasuka mikeka yako ya ushindi, endelea kufurahia ubashiri kuanzia soka,
kasino na Virtual
Games ukiwa na Meridianbet, ujiweke katika nafasi ya kushinda Jackpots kibao za kasino ya
Mtandaoni!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...