Mkuu wa wilaya ya Bunda Joshua Nassari wa nne kutoka kulia akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi na wadau waliosaidia mbio za
Serengeti Migration marathon,wa kwanza kulia waliokaa ni Katibu wa
Riadha Mkoa wa Mara Vedastus Makaranga,Meneja mauzo wa Kampuni ya
Serengeti Breweries Mara na Simiyu Jay Jay Mwarabu Gombanilla,
Mwenyekiti wa riadha Mara Deogratias Misana,na wa kwanza kushoto ni
Geofrey Werema muandaaji wa mbio,Said Babu Mwenyekiti wa rufaa riadha
wilaya na Katibu Tawala wilaya ya Serengeti Cosmas Qamara. Mbio hizo
zilifanyika katika viwanja vya Sokoine Mugumu tarehe 30 Julai.
Mkuu
wa Wilaya ya Bunda Joshua Nassari kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya
Serengeti Dk Vicent Mshinji akimkabidhi mshindi wa mbio kilometa 10
Ivona Juma toka Serengeti
Haji Luli toka Mwanza mshindi wa mbio za Serengeti Marathon Migration Marathon kilometa 10 akielekea kumalizia.Washiriki wa mbio za Serengeti Marathon wakijiandaa kukimbia kwenye viwanja vya Sokoine Mugumu tarehe 30 Julai.
Meneja
Mauzo Kandaya Mara na Simiyu Kampuni ya Serengeti Brieweris Jay Jay
Gambanilla akifafanua jambo kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa
mbio za Serengeti Migration Marathon.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...