Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kufungua maonesho ya wakulima nanenane katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo ,(kushoto) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa,Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Mhe.Shamata Shaame Khamis.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakipata maelezo yaliyotolewa na Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Mifugo Nd, Asha Zahran (kulia)wakati walipotembelea shamba la mfano la malisho ya Mifugo katika maonesho ya wakulima nanenane viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) wakichuma karafuu leo wakati walipotembelea maonesho ya kazi mbali mbali katika maonesho ya wakulima nanenane viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (katikati) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Mhe.Shamata Shaame Khamis.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakipata maelezo yaliyotolewa na Mkuu wa Vyuo vya Mafunzo Zanzibar Kamishna Khamis Bakari Khamis (wa pili kulia) wakati walipotembelea Bustani ya aina ya mboga mbali mbali zinazoendeleza na kikosi cha mafunzo katika maonesho ya wakulima nanenane viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakipata maelezo yaliyotolewa na Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Uratibu wa Uchumi wa Buluu Capt.Hamad Bakari Hamad (wa tatu kulia)wakati walipotembelea maonesho ya kazi mbali mbali katika maonesho ya wakulima nanenane viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo,wengine ,Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Mhe.Shamata Shaame Khamis(kushoto) na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiuliza suala kwa Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Uratibu wa Uchumi wa Buluu Capt.Hamad Bakari Hamad (kulia) wakati alipotembelea kazi mbali mbali katika maonesho ya wakulima nanenane viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja aliyoyafungua leo ,(katikati) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (wa pili kulia) Mkuu wa KmKm Komodoo Azana Hassan Msingiri .[Picha na Ikulu] 08/08/2022.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...