RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakizungumza na Mwanasiasa na Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar Mhe. Mohammed Raza Daramsi, walipofika nyumbani kwake Kibweni Wilaya ya Magharibi “A” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake leo 28-8-2022 na (kushoto kwa Rais) mtoto wake Hassan Mohammed Raza.(Picha na Ikulu)
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwanasiasa na mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar Mhe. Mohammed Raza Daramsi alipofika nyumbani kwake Kibweni Wilaya ya Magharibi “A” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake leo 28-8-2022.(Picha na Ikulu)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...