RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar
Hamad Khamis Hamad, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na
kijitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 4-8-2022.(Picha
na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Kamishna wa Polisi Zanzibar.
Hamad Khamis Hamad, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-8-2022, alipofika kujitambulisha.(Picha na
Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...