
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuagana na Viongozi pamoja na Wananchi wa Jimbo la Isimani Mkoani Iringa baada ya kukamilisha Ziara yake ya kikazi Mkoani humo tarehe 13 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma alipowasili katika Kijiji cha Mpunguzi alipokuwa akitokea Mkoani Iringa baada ya kukamilisha Ziara yake ya kikazi tarehe 13 Agosti, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...