



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Mafinga mjini alipowasili Mkoani Iringa kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi tarehe 11 Agosti, 2022.

.jpg)

Wananchi wa Kijiji cha Sawala Mufindi wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika eneo hilo kwa ajili ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa barabara ya Sawala-Mkonge-Iyegeya Mkoani Iringa tarehe 11 Agosti, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...