Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Barabara ya Njombe - Makete km107.4 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha Lami. Hafla ya ufunguzi imefanyika Makete Mkoani Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea Barabara ya Njombe - Makete KM107.4 Mkoani Njombe mara baada ya kuifungua rasmi Barabara hiyo tarehe 09 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Njombe mjini baada ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Jengo la Huduma ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Makete mara baada ya kufungua rasmi Barabara ya Njombe- Makete km107.4 Mkoani Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria kufungua rasmi Barabara ya Njombe - Makete km107.4 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha Lami. Hafla ya ufunguzi imefanyika Makete Mkoani Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...